MAKAHABA WA SINZA WATIWA MBARONI MCHANA KWEUPE

0




Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza. 

Picha hizi ( juu)  zinaonesha  namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria

0 comments: