AIRTEL YAKABIDHI VIFAA KWA TIMU ZINAZOSHIRKI AIRTEL RISING STARS

0

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson MmbandoAkiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindao ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi vifa vya michezo kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni na Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kasongo kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindao ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu.hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika ukumbi wa mikutano wa TFF leo

0 comments: