Picha 18 za fainali ya Miss Tanzania 2013
0
Redd’s Miss Tanzania 2013 ni Happiness Watimanywa, mshindi wapili ni huyu wa kushoto anaitwa Latifa Mohamed na wa tatu ni Clara Bayo ambapo jumla ya Warembo 30 walishiriki kutoka mikoa mbalimbali.
Unaambiwa hawa ndio waliingia kumi bora.
Hawa ndio waliingia 5 bora ambapo ni Happiness Watimanya, Elizabeth Peter, Clara Bayo, Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.