MAMA BARNABA AZIKWA NA MAELFU. TAZAMA PICHA

0

 







Mama yake Msanii Diamond akiwasili maeneo ya kigogo
msiba ulipokuwepo akiwa na
dada yake Diamond Esmah Khan....
Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina
Barnaba Boy Classic kutoa heshima za mwisho..!
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!!

Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana
 mara ya mwisho na mpendwa wako....
Barnaba akiagana na Mama kwa mara ya mwisho.....!!


Madee along side with Lady Naa....walikuwepo pia....!!

Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!!
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T)


Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini
kwaajili ya maziko kumpumzisha
Mama....!!

Bi sandrah akiondoka maeneo ya nyumbani kuelekea
makaburini kuzika baada ya kutoa heshima za mwisho!
Esmah Khan & Hawa video queen kwenye wimbo wa
Ntaerejea aliyoshilikishwa na msanii Diamond walikuwepo
kuwafariji wafiwa...
Qboy msafii along side with kisula wakiwa tayari kuelekea makaburini...!!
Hapa mwili ukiwa umeasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...!

Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!!


Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kuashiria ishara ya
alipotoka ni mavumbini na atarudi
mavumbini.....

Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia
hatua ya kutokuweza kusimama,
ilibidi asaidiwe...!!
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!!
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....!
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!!
Producer Lamar Niekamp wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...!
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa
nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa...


Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa
Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!!



Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini
kuashiria ishara ya ufufuo...!!
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya
 marehemu Mariamu Arubeth...!!







Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara
 baada ya kumaliza shuguli a maziko...!!
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada
ya shuguli ya mazishi kukamilika...!!

0 comments: