OBAMA NDO HABARI YA MJINI

0

RAIS OBAMA akitelemka kwenye Air Force One na mtoto wake pembeni mara baada ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania wakati akitokea afrika ya Kusini jana majira ya saa 8 mchana kwa ziara ya kikazi nchini.Barack Obama akipokewa na Wananchi wa  Tanzanian huku wanaband wakitumbuiza nyimbo mbalimbali kwenye uwanja wa Mwl.Julius Kambarage jijini Dar es Salaam akitoka Africa kusini.


Rais Obama akipita kwenye kapeti jekundu huku akiwa na furaha na kucheza nyimbo za wabongo kwenye uwanja wa jijini Dar es salaam wa Mwl. Julius Kambarage

Karibu  Tanzania....karibu!!!

Ilikuwa ni patashika kwa wacheza ngoma hapa!!! Obama mpaka akaachia Tabasamu

Angalia Rais Obama akicheza nyimbo za hapa kwetu Bongo huku akiwa na furaha kwa mapokezi baada ya kukanyaga ardhi ya Tanzania  U.S. President Barack Obama participates in an official arrival ceremony at Julius Nyerere Airport in Dar es Salaam, Tanzania, July 1, 2013. REUTERS-Jason ReedU.S. President Barack Obama walks with Tanzanian President Jakaya Kikwete during an official arrival ceremony at Julius Nyerere Airport in Dar es Salaam July 1, 2013. REUTERS-Jason ReedObama na JK.U.S. President Barack Obama and first lady Michelle Obama receive flowers, as their daughter Sasha (2nd R) watches, during an official arrival ceremony at Julius Nyerere Airport in Dar es Salaam, Tanzania, July 1, 2013. REUTERS-Jason ReedKaribu Baba ! Karibu Tanzania!

Rais na First Lady Obama wakisalimia wananchi wa Tanzanian baada ya kupokewa na Rais Jakaya Kikwete na First Lady Salma

Ni furaha hapa baada ya Rais Obama kutua Bongo, hapa anaonekana na mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakipokewa kwa ngoma
Ni mimi jamani ...tupo pamoja !.
Wanafunzi nao hawakuwa nyuma kumkaribisha mgeni wetu

Mambo ya brassband, si mchezo

 

Hapa ni wakati wapo Africa kusini wakipanda Air Force One Cape Town wakiwaaga wananchi nchini humo kabla ya kuja Bongo Tanzania Rais Barack Obama wa Marekani (kushoto) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari wa Tanzania na Kimataifa Ikulu Jijini Dar es Salaam jana jioni ambapo mbali na kuzungumzia mstakabali wa ziara yake nchini Tanzania na Afrika pia amezungumzia masulala mbalimbali ya Kimataifa ukiwepo mgogoro na Vurugu zinazoendelea nchini Misri na Congo DRC.
Rais George W. Bush na mkewe pia wapo hapa nchini 
 Mr Obama alipotembelea jengo la magereza ambapo  Nelson Mandela alifungwa kwa miaka kadhaa huko Africa kusini kwenye kisiwa cha  Robben Island.
 
Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jana  jioni   wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa  WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo.
 


 
2 
Mama Mchelle Obama akielekea katika lango kuu la ofisi za WAMA jioni hii.3 
Mama Michelle Obama akilakiwa na mwenyeji wake mama Salma Kikwete wakati alipowasili katika ofisi hizo kwa mazungumzo mafupi.4 
>Mama Michelle Obama akipozi kwa picha na mwenyeji wake mama Salma Kikwete 6 
Wake wa viongozi wakipunga bendera kama ishara ya kumpokea Mama Michelle Obama789 
Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi ya EPTF akiongozana na mama Aisha Bilal wakati wa mapokezi ya Mke wa Rais Barack Obama Mama Michelle Obama katika ofisi za WAMA JANA jioni10Makachero wa Marekani wakiwa kazini 11 
Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wake wa Viongozi wakati alipowasili katika ofisi za WAMA tayari kwa kumpokea mgeni wake Mama Michelle Obama.
 

0 comments: